Mbunge wa jimbo la Nyasa, Capt John Komba wa TOT amefariki Dunia leo Februari 28, 2015 katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam. Habari kamili zitazidi kuwajia. 
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI- AMIN.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: