Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisalimiana na wakazi waMitaa ya Kata ya Kichangani manipaa ya Morogoro Katika Mfululizo wa Ziara zake anazofanya katika kata Zote za Jimbi hilo kwa lengo la Kusikiliza Kero za wananchi wa Jimbo hilo .Katika Hali isiyo ya kawaida Mh Abood Amewashangaza wakazi wa Kata ya Kichangani Pale aliokataa Kuitwa Mheshimiwa, Mbunge huyo aliwataka wakati hao Kumwita Mtumishi.Akilezea Zaidi Mh Abood alisema Namnukuu "Jina Mheshimiwa Niataitwa tu nikiwa Bungeni Lakini Nikija kwa Kwenu Msiniite Mheshimiwa bali Mniite Mtumishi Wetu Amekuja" Wakazi hao walishangazwa na hali hiyo na kuishia kusema Tangu Uhuru Katika Wabunge wote waliowahi kuliongoza Jimbo Hilo Hakujawahi Kutokea Mbunge Kama Huyu Maana anawajali ,anawasikiliza na Ameshatatua kero Kubwa zilizokuwa zinawakabili kama Maji,Zahanati,Barabara amoja na kuwasomesha Watoto wengi Yatima na watoto ambao wazazi wao wana maisha Duni.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Amezungukwa na wakazi wa Mitaa ya Area Six A na B Kata ya Kichangani aliofika kuwasikiliza kuhusu Kero Mbalimbali zinazowakabili wakazi wa Kata hiyo.Wakazi hao walimweleza Mh Abood Wanakabiliwa na Kero Kubwa ya Umeme,Maji na Barabara za Mitaa.
Kuhusu Maji Mh Abood Aliwajibu Anapambana Usiku na Mchana kutatua Kero hiyo kwa Kushirikiana na Idara ya Maji mkoa wa Morogoro. Kwa Juhudi zake Mwenyewe Ameshachimba Karibu Kila Kata Vyenye Dhamani ya Karibu Milion 550.Na Bado anaendelea Kutumia Kila Mbinu kuhakikisha wakaz i hao wanapata Maji safi na salama. Alitoa Shilingi Milion 1 kwajili ya Kununua Kununua Mafuta Kuwesha Mitambo ya Kuchonga Barabara za Mitaa hiyo.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na Mtoto Mdogo wakti wa Ziara yake aliyoifanta kata ya Kichanagani.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiwa Meza Kuu na wenyeviti wa Mitaa ya Koal A na B Kata ya Kichangani waliojitokeza Kwenye ziara ya Mhe. Abood Ambapo walipewa nafasi ya Kuwasalimia wananchi waliishia Kumsifia Mbunge huyo kwa Kumwita Ni jembe Lililo Makini na Kuwaasa wakazi wa Jimbi hilo Kuunga Mkono katika Shuguli zakea Pia walimuahidi Mhe. Abood Kushirikiana nae bega kwa bega katika Kuwaletea wakazi wa Morogoro Maendeleao.Aidha Mh Abood aliwajibu Kwamba Yupo tayari kufanya nao kazi Muda wowote wamshirikishe wanapokwama.
Toa Maoni Yako:
0 comments: