Ijumaa ya wiki iliyopita tar. 30.01.2015 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa Mema Margareth Berege Lukwalo (Mrs. Jacob Lukwalo) ambapo sherehe ya kumpongeza lifanyikia kiota cha Great Wall kilichopo Masaki jijini Dar na kuhudhuliwa na ndugu, jamaa na marafiki. (Pichani ni keki iliyokuwa imebeba tukio hilo.)... Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog ambaye anamiliki pia Kajunason Studio.

Shughuli ilianzia hapa wafanyakazi wa kiota hicho walipokuja wamebeba keki huku wakiimba wimbo wa pongezi... 'Happy Birthday to You, 'Happy Birthday to You, 'Happy Birthday dear Mema... 'Happy Birthday to You" Vigeregere na makofiiii tafadhali.....
Kila kona ilikuwa ni nderemo na vifijo...
Mema Margareth Berege Lukwalo (Mrs. Jacob Lukwalo) akiwa amepata mshangao mara baada ya keki kadhaa za kumpongeza kufika mezani. Pembeni anayeshudia ni mumewe Jacob Lukwalo. Pembeni ni Emmanuel a.k.a Ngosha naye akiwa makini kabisa.
Furaha.
Mema Margareth Berege Lukwalo (Mrs. Jacob Lukwalo) akikata keki kwa uangalizi makini wa mumewe Jacob Lukwalo. Pembeni anayeshudia ni rafiki yake kipenzi.


Mema Margareth Berege Lukwalo (Mrs. Jacob Lukwalo) akimlisha keki mumewe Jacob Lukwalo.
Muda wa chakula...
Bwana na Bibi Mvumo Balati.








Bwana na Bibi Jacob Yona.




Bwana na Bibi Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog.
Wageni waalikwa...
Marafiki wakibadilisha mawazo huku wakipata ukodak toka Kajunason Studio iliyokuwepo eneo la tukio.
Mema Margareth Berege Lukwalo (Mrs. Jacob Lukwalo) akiwa na mumewe Jacob Lukwalo kabla ya kumpa zawadi.
Aha... ilikuwa ni furaha pale Mrs Jacob Lukwalo na Mrs Jacob Yona (kati). Pembeni ni Jacob Lukwalo. 
Wanakikundi wa Umoja wakifurahia jambo na mwanachama mwenzao.
Kaka mkubwa wa kikundi cha Umoja, Bavon Mnyawami akitoa neno.
 Ukodak.
Zawadi za marafiki.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: