Pichani ni Mama mzazi wa Mez B akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za mwisho. Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili. Mungu ailaze roho ya marehemu Mez B mahali pema peponi Amin.
Baadhi ya wasanii waliohudhuria msiba huu wa Mez B wakiwa kwenye majonzi mazito
Picha zote kwa hisani ya Dj Choka.
Toa Maoni Yako:
0 comments: