1. Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha.

2. Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule.

3. Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe.

4. Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako.

5. Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale.

6. Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu.

7. Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote.

8. Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?

9. Bichwa kubwa ubongo nukta.

10. Wengine hapa wamekuja kukua tu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: