Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo.
Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali.
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo wakati wa mashindano ya taifa ya ngumi yanayo endelea katika uwanja wa ndano wa taifa kutoka kushoto ni Meja Rodgers Daudi  ambae pia ni refarii na jaji wa mchezo wa masumbwi Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga. Picha na SUPER D BOXING NEWS.
VIONGOZI WAKIFATILI MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDEREA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT  kushoto akioneshana umwamba kutupiana makonde na Atanas Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa taifa.
Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakipiga picha mbele ya uringo mpya wa BFT kutoka kushoto ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  rais wa TPBO na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini SUPER DIEGO wa Mapambano.
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali.
Bondia Fred Julius wa Kigoma  kushoto akitupiana makonde  na  Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi alishinda kwa K,o ya raundi ya pili.
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: