Wachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi)kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet

Wachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakijadiliana jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi)kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: