Diamond Platnumz akiongea machache baada ya ushindi huo wa kishindo.
Diamond Platnumz akipozi baada ya kutwaa tuzo tatu za Channel O juzi Novemba 29, 2014 nchini Afrika Kusini.
Mrembo Zari anayedaiwa kuchukua nafasi ya Wema Sepetu akiwa ameshika tuzo za Diamond.
Diamond katika pozi na wadau.
Diamond katika pozi na wadau pamoja na mama yake mzazi, Sandra (wa pili kulia).
Diamond (katikati) akiwa na management yake. Kulia ni Said Fella na Babu Tale (kushoto).
Kutoka kushoto ni Mama mzazi wa Diamond 'Sandra', Diamond na Zari katika picha ya pamoja.

Haikuwa rahisi ila yote mwenyezi Mungu ndiye huwa anapanga kila jambo, ilikuwa November 29, 2014 ni siku ambayo msanii Nasib Abdul almaarufu Diamond Platnumz aliponyakua tuzo tatu katika kinyang'anyiro cha tuzo za Channel O Music Award 2014 kupitia wimbo wake wa ‘Number One’

Diamond, Salam, Babutale na Vanessa Mdee wakiwa na tuzo


Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most Gifted Newcomer.


Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa kuwapiku wasanii nguli wa Afrika wakiwemo Iyanya, Davido, Flavour, Mafikizolo na Sauti Sol.

Ushindi huo umepokelewa kwa furaha kubwa na Watanzania wakiwemo wasanii wenzake.

Hii ni orodha nzima ya washindi:

Most Gifted Video of the Year

Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Male Video

Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Female Video

Eminado – Tiwa Savage
Most Gifted Afro Pop Video

Number One – Diamond Platnumz
Most Gifted South Video

Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted East Video

Diamond
Most Gifted West Video

‘Turn Up’ – Olamide
Most Gifted duo/group/featuring

Pull Over – KCEE f/ Wizkid
Most Gifted Kwaito

Uhuru ft Oskido & Professor
Most Gifted RnB Video

‘Crazy But Amazing’ – Donald
Most Gifted Hip hop Video

Congratulate – AKA
Most Gifted Dance Video

Ngoku – Busiswa
Most Gifted Newcomer

Diamond Platnumz
Most Gifted Ragga Dancehall

Buffalo Souljah
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Kwa hili ngoja teweke kando tofauti zetu na nikupongeze kwa dhati Bwana Almas kwa ushindi huu. Jitahidi kufanya kazi nzuri na Ipo siku utkwenda mbali zaidi ya hapo.

    ReplyDelete