Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
Muonekano wa Mti huo.
Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View, Upanga jijini Dar es Salaam.Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo kwenye tukio hilo wameeleza kuwa kuwa chanzo cha kuanguka kwa mti huo ni ukongwe wa mti huo.
Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
Pichani ni viti ambavyo vilikuwa vimekaliwa na watu ambao walinusurika.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti. Picha na Michuzijr Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: