Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akitoa heshima katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata leo Novemba 11, 2014 mjini Lusaka, Zambia.
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata ukiwasili eneo la Maziko mjini Lusaka, Zambia.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (tatu kutoka kushoto) akiwa na wageni waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata leo Novemba 11, 2014 mjini Lusaka, Zambia. Picha zote na Ikulu, Kenya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: