Refarii Sako Mtlya akimnyoosha mkono juu bondia Ibrahimu Tamba baada ya kumgalagaza Maisha Samsoni kwa K,O ya raundi ya pili katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. 
Bondia Mrisho Adam  kushoto akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo.
Bondia Mrisho Adam  kulia akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo.
Mabondia Karim Ramadhani Kushoto akipambana na Stevin Kobelo wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mchazo huo ulimalizika kwa droo. Picha na SUPER D BLOG
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: