Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwahutubia waumini wakanisa Katoliki Yombo Vituka wakati washerehe ya Bikira Maria iliyoandaliwa na Umoja Wawanake wa Katoliki (WAWATA) Dekania ya Ukonga, Tunu Pinda alitumia nafasi hiyo kuwaomba Tanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo kwani kuna nchi nyingine zina matatizo hata hawezi kupata nafasi ya kuhudhuria ibada kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe. 
Mama Tunu Pinda akinunua sanamu ya mfano wa Bikira Maria ambayo ilikwa inauzwa katika viwanja vya Kanisa Katoliki Yombo Vituka Dekania ya Ukonga wakati wa sherehe za kumbuka Bikira Maria kushoto ni Mama Masaburi. 
Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mtoto ambaye alikuwa amehuduria sherehe za kumkumbuka Bikira Maria mtoto huyo jina lake halikuweza kufahamika.
Picha ya pamoja Picha zote na Chris Mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: