Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Dj Choka ambaye ni Dj mteule wa kundi la Weusi akifanya vitu vyake.
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla, Bi. Khadija Omary Kopa akitoa burudani ya Kikwetu Kwetu sambamba na wacheza shoo wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mfalme wa muziki wa Taarabu Mzee Yusuph akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa jiji la Tanga katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule atoa burudani sambamba na mdogo wake Coriombi ambaye ni mdogo wake wa kuzaliwa nae ambaye kwa sasa amekuwa akimuandaa kuwa mrithi wa mikoba yake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki wa mji wa Tanga waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wakazi wa jiji la Tanga na vitongoji vyake wakiwa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Weusi: Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: