Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuturu pamoja na mabondia na wadau wa mchezo huo wa pili kushoto ni Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Birali Ngonyani, Shomari Mirundi, Raymond Mbwago wakati wa futari iliyoandaliwa na kocha huyo nyumbani kwake Rozana Dar es salaam. Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiomba duwa baada ya kufuturu katika futari iliyoandaliwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' mwenye kibagarashia na kanzu.
Mabondia na wadau mbalimbali wakifurahia futari iliyoandaliwa na kocha Super D |
Futari ikiendelea.
Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' (katikati) mwenye kibagarashia na kanzu akiwa katika picha na baadhi ya mabondia na wadau wa mchezo wa Masumbwi baada ya kufuturu nyumbani kwake Rozana - Dar es Salaam.
Kocha Rasjabu Mhamila 'Super D' (katikati) mwenye kibagarashia na kanzu akiwa katika picha na baadhi ya mabondia na wadau wa mchezo wa masumbwi baada ya kufuturu nyumbani kwake Rozana - Dar es Salaam kutoka kulia ni Birali Ngonyani, Ibrahimu Class, Mohamed Sadiq, Raymondi Mwago wa pili kushoto na aliyechuchumaa ni Shomari Mirundi.
Wadau wakipata picha ya kumbukumbu.
WADAU WAKIPIGA PICHA YA KUMBUKUMBU NA KOCHA SUPER D
Toa Maoni Yako:
0 comments: