Msanii wa maigizo Elizabeth Diana Michael aka Lulu jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye #Futari iliyo andaliwa na msanii huyo.. Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali mbali... Mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan amesema wamefarijika sana kuona Lulu amewakumbuka.
Mama Kanumba nae alikuwepo.
Lulu akiwa na mmoja wapo wa mtoto wa kituo hicho.
Lulu na mama Kanumba wakiteta jambo.
Lulu na mdogo wake Eric.
Lulu akikabidhi msaada.
Mama mlezi wa watoto hao Bi. Saida Hassan akizungumza na Lulu. Picha na Bestizzo
Toa Maoni Yako:
0 comments: