Ushindi! Ushindi! Ushindi! Wacheaji wa Timu ya Ujerumani wakishangilia ubingwa huku kapteni wa timu hiyo Philipp Lahm akiwa ameMEnyanya kombe.
Ilikuwa ni Furaha na Vifijo.
Kocha wa Timu ya Ujerumani, Joachim Low akiwa amebeba kombe kwa furaha pamoja na wachezaji.
Mchezaji wa timu ya Ujerumani Andre Schurrle akipongezwa na mchumba wake Montana Yorke mara baada ya mechi kuisha.
Hii ndiyo furaha ya ubingwa kati ya Mario Gotze (lkushoto) na Thomas Muller
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia kwa shangwe mara baada ya kufunga goli.
Mchezaji wa Ujerumani Gotz akipiga shuti lililozaa matunda ya ushindi,
Mfumo wa goli waliloshinda Ujerumani na kuchukua ubingwa.
Mchezaji wa Argentina Palacio akimpiga kanzu korikipa wa timu ya Ujerumani.
Toa Maoni Yako:
0 comments: