Hatimaye shabiki Nguli wa Timu ya Argentina Mwani De Omar Nyangassa ameamua kujitoa katika mtandao wa facebook kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na uchungu wa timu yake kufungwa na Ujerumani (Wakoloni) kukosa kuchukua kombe la Dunia 2014. Mtandao huu unakupa pole kwa kufungwa ila piga moyo konde yote yataisha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: