Hatimaye Video ya Haina Noma Ya - Julio Batalia ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la BIGBROTHER AFRICA SEASON 7 (StarGame) mwaka 2012 imeshakwisha na video hiyo imekabidhiwa rasmi na director mkubwa wa kampuni ya NEXTLEVEL - Adam Juma (AJ).
Video hii ambayo wameshirikishwa wasanii wakubwa wawili CHEGE CHIGUNDA kutoka TMK Wanaume Family na Raisi wa Manzese, Madee kutoka TIPTOP Connection imeandaliwa katika location ya CLUB 601, Uzinduzi rasmi utafanyika leo tarehe 06/06/2014 - FNL East africa TV, nakuonyeshwa kwenye vituo mbali mbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments: