Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda
mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha
Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata
jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni
Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi
wa Tatu, Ramta Mkadara .

Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013
Kumi Bora.
Warembo wakitoa burudani
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo
Mshereheshaji akizungumza jambo
Warembo wakiwa wamevaa vazi la ufukweni
Warembo wakitoa burudani
Majaji wakifanalaizi mambo.
Jaji wa Missi Tabata 2014, Le Mutuzi akiwataja warmbo kumi bora na pia aliwataja tano bora
Washindi wa Miss Ukonga nao walikuja kuonesha ya kwao
Maswali yakiulizwa kwa Warembo
Burudani ikiendelea
Wadau waliokuwa kwenye miss Tabata, kulia ni Mc Baraka wa Bukoba Wadau.
Miss Talent 2014 alichukua Faudhia Feka
Miss Discipline alichukua, Nuru Omary
Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Aliyekuwa Redd's Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha Sasha mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy.
Aliyekuwa Redd's Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha taji mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy.
Wadau waliofika kutizama Redd's Miss Tabata 2014
PICHA NA PAMOJA BLOG
PICHA NA PAMOJA BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments: