#Ninakukumbuka sana My Daddy, My Bro , My friend, ulikuwa mwema sana kwangu mwanao ulinionesha Upendo wa dhati kwa ushauri nakumbuka ulikuwa ukiniambia "Rock utakuja kuwa Mwamba wa siasa za kwenu Kyela - Mbeya wewe kwa maana nimtafiti sana halafu una uwezo wa kujenga hoja yako na kuitetea tangu ulipokuwa shule ya msingi, Sekondari Mgomo ulianzisha yaani ilikuwa ni balaa walimu wenyewe walikuwa wanakupa salute hapa kweli nimezaa Dume la Mbegu, Kiongozi wa siku za usoni najivunia kuwa Baba yako" Nimekumiss sana Baba pia namwombea kheri na baraka Dada yangu Tusekile Mwakibinga katika Masomo yake anayomaliza nchini Uingereza Mwaka huu. Bwana ametoa, Bwana ametwaaa Jina lake Lihimidiwe. Pumzika kwa Amani Chief Mwakibinga.

Imetolewa na Mwanae, James Rock Mwakibinga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: