[
Burudani ya ngoma ikiendelea katika Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya Tamasha la Jinsia lililofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya (wa pili kulia) akiwa na wageni wake pamoja na wanachama wa TGNP.
 
Baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). 
Baadhi ya wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania wakiwa na wageni anuai ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya Tamasha la Jinsia.

[
Maonesho ya mavazi ya kiafrika ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.

 
Washiriki wa hafla ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia wakicheza muziki.

 
Vivywaji na vyakula navyo katika hafla hiyo vilikuwa ni vya kiasili asili. Hapa wageni wakipata kinywaji aina ya dafu.

 
Kikosi kazi na waratibu waliofanikisha tamasha la jinsia Tanzania kikitambulishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: