Wateja wa Tigo wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo eneo la Soko Kuu la Kariakoo. Hii ni moja kati ya huduma zitolewazo kwenye ‘Tigo Smile Tour’.
 Kikundi cha sanaa cha Jambo Brothers kikitoa burudani eneo la soko kuu la Kariakoo ikiwa moja ya vionjo vya ‘Tigo Smile Tour’.
 Umati wa wakazi wa jijini la Dar Es salaam wakishuhudia huduma na burudani zitolewazo na Tigo Smile 
 Tour eneo la Soko Kuu la Kariakoo.

Kikundi cha sanaa cha Salute kikitoa burudani eneo la Manzese, Dar es Salaam wakati wa huu msimu wa  ‘Tigo Smile Tour’.
Mnenguaji wa kikundi cha Salute akionyesha vitu vyake eneo la Manzese, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Tigo Smile Tour.
Mkazi wa Moshi Mjini Bw.Eugenia Mpinge akipata huduma wa usajili wa laini ya simu kutoka kwa wafanyakazi wa tigo kwenye Tigo Smile Tour viwanja vya Hindu Mandar Moshi Mjini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: