Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akizindua duka la Samani lijulikanalo kwa jina la TLR ECLECTIC lililopo jengo la Karibu maeneo ya barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia nyuma ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Duka hilo, Dilip Kanabar na Mkurugenzi Mtendaji Nishit Kanabar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akiangalia izindua duka la Samani lijulikanalo kwa jina la TLR ECLECTIC lililopo jengo la Karibu maeneo ya barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.
Burudani ikiendelea...
Mwanzilishi na Mmiliki wa Duka la TLR ELECTIC, Dilip Kanabar akitoa maelezo machache kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Sila.
Makofi ya furaha. Kulia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Duka la TLR ELECTIC, Dilip Kanabar, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa pamoja na Sheria Ngowi wakati wa uzinduzi.
Showroom Meneja, Bakari Simbeye akitoa maelezo machache.
Wageni wakifuatilia kwa makini.
Showroom Meneja, Bakari Simbeye akieeleza zaidi ubora wa vifaa vya duka lao.
Wageni wakichukua taswira.
Mkurugenzi Mtendaji, Nishit Kanabar akitoa historia ya duka ikiwa na kutambulisha wafanyakazi (hawapo pichani) pamoja na kueleza ubora wa bidhaa zao.
Mkurugenzi Mtendaji wa duka hilo, Nishit Kanabar akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa zawadi ya vocha yenye thamani ya shilingi mil. 1 ya kufanya manunuzi katika duka lao wakati wa uzinduzi wa duka la Samani lijulikanalo kwa jina la TLR ECLECTIC lililopo jengo la Karibu maeneo ya barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akiongea machache.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akitia msisitizo.
Mwanzilishi na Mmiliki wa TLR ELECTIC, Dilip Kanabar akimshukuru Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaakwa kufika.
Mazungumzo  yakiendelea.
Mahojiano.
Wafanyakazi wakishow love.
Mkurugenzi Mtendaji Nishit Kanabarakifanya mazungumzo na mwanamitindo Sheria Ngowi.
Blogger Mariam akifanya mazungumzo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Duka la TLR ELECTIC, Dilip Kanabar.
Wafanyakazi wakiwa katika nyuso za furaha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: