Leo majira ya usiku wa saa 2, ilitokea ajali eneo la kona ya kanisa la Kakobe mwenge jijini Dar es Salaam yakusikitisha na iliyosababishwa na uzembe wa dereva wa majaji ilikuwa ni kati ya magari mawili na bajaji ambapo bajaji ilibanwa na kusababisha uharibifu na foleni kubwa.
Bajaji akiwa amewekwa kati, huku nyuma ikisomeka ooo! Mamaaaaa
Hapa wamiliki wa magari pamoja na bajaji wakijaribu kushauriana jinsi ya kumaliza mzozo huo ambao ulichukua takribani dakika 40 na ndipo ilipopatikana suluhisho la kila mmoja akajitengenezee chombo chake.
Haya sasa nani ni mjinga kati ya hawa??? Kila mmoja anaharakaaa
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: