Baadhi ya wavutaji wa sigara wakiwa katika chumba kimoja katikati jiji la Nairobi wakivuta sigara kutokana na nchi ya Kenya kuweka msimamo na kusimamia sheria ya kutovuta sigara katika eneo lenye watu wengine wasiotumia sigara. Vibanda hivi vimewekwa maeneo mbali mbali ya jiji la Nairobi ili kuwasaidia wavutaji wa sigara. Endapo mvutaji wa sigara akikamatwa anavuta siragara azarani atachukuliwa sheria likiwemo kufungwa jela miezi sita na kutozwa faini. Jambo hilo humfanya mtu kutembea umbali mrefu kutafuta eneo hilo maalum kwa uvutaji wa sigara tofauti na nchi nyinginezo mnapishana tu na wavutaji sigara tena wakikupulizia moshi ovyo bila ya kujali afya za wengine.
Home
Unlabelled
WAVUTAJI SIGARA FUATENI SHERIA KAMA KENYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: