Akina mama wakiwa wamepanda baiskeli ya miguu mitatu (gutta) pamoja na mizigo yao wakifika eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Mwanawake hao huwa wanaleta mizigo yao kwa kutumia usafiri huo huku nao wakiwa wamepanda.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: