Vyakula vya kutosha
Mjengwa Blog akiwa na Andrew Chale.


Vijana wa Star TV








Blogger's FC




Ankali Michuzi akiwa na Othman Michuzi.


Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akikaribishwa wakati wa Bonanza maalum la waandishi wa habari 'Medi Day' lililofanyika leo kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni. ambapo kwenye hotuba yake Dkt Mwakyembe, alisema ''Nataka Niwe Waziri Bora wa Uchukuzi Tanzania, Na pia wananchi hawataki Cheo cha Mtu bali wanataka Maendeleo zaidi, na hata yule anafanya kampeni wa Urais kwa wakati huu tukiwa na Rais, anavunja sheria za nchi, asubiri hadi tukifikia kipindi cha kampeni ndiyo aanze kujinadi''. alisema Dkt. Mwakyembe.






















Timu ya Magazeti Tando, Blogger's Fc, wakiwa katika picha ya pamoja ambapo beki wa timu hiyo Sufianimafoto, ameitoa kimasomaso baada ya kuwafungia penati muhimu ya mwisho iliyowapa ushindi dhidi ya timu ya DSJ, ambapo Blogger's Fc ilishinda kwa mikwaji 3-2 na kuwaondosha mashindanoni, wapinzani.








Picha zote na Michuzi Media Group.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: