Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh, Lazaro Nyalandu akimtoka Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mheshimiwa Anthony Mtaka katika mbio hizo
Msanii wa muziki wa bongofleva Barnaba Elias a.k.a Barnaba boy akiwa na mkurugenzi wa kampuni ya Frontline Porter Novelli, Irene Kiwia ambao ndiyo waandaaji wa mbio za Ngorongoro.
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh, Lazaro Nyalandu wakikimbia pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mheshimiwa Anthony Mtaka.
Washiriki wakiwa katika mashindano.
Washiriki wakijiandaa tayari kwa ajili ya kuanza mashindano wakiwa pamoja na Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh, Lazaro Nyalandu pamoja na waandaaji.
Mshiriki mwenye umri mkubwa kuliko wote mzee Jarome Mollel (70) ambaye alimaliza mbio za kilometa tano (5).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: