Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. 

Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana Lihimidiwe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: