Msanii wa kizazi kipya Faridi kubanda maarufu kama
Fid Q akitumbuiza wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika
Cocobeach mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Majaji (JB)
aliyemiliki jukwaan na msanii nguli wa bongo fleva Sir, Juma Nature
(hayupo pichani) akitoa burdani wakati tamasha la Airtel yatosha
lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Msaninii maarufu wa Hip Hop
Roma Mkatoliki akiwapagaisha wapenzi wake katika tamasha la Airtel
yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Msanii
maarufu wa kizazi kipya Sir Juma Nature akimwaga burudani katika
tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam
mwishoni mwa wiki.
Kundi la sarakasi la la jijini Dar es salaam
likitoa burdani kwa maelfu ya watanzania waliohudhuria tamasha la
Airtel Yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki.
Umati
wa watu waliohudhuria tamasha la Airtel yatosha jijini Dar es saalam
wakipata burudani huku wakishika mabango ya kuwashangilia wasanii mahiri
wa kizazi kipya katika tamasha la Airtel yatosha Fid Q alionekana
kung'ara zaidi.
Msanii wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop maarufu kama Ney wa Mitego akimwaga burudani kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments: