Bondia Fadili Majia akiwa na kombe la ubintaifa wa wa ngumi kimaifa
alililinyakua nchini Indonesia wiki iliyopita alipo mpiga bondia Heri
Amol hapa alipo pokelewa baada ya kurudi Jijini Dar es salaam jana kutoka
kushoto ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini wengine ni
mabondia Japhet Kaseba, Kanda Kabongo na Pendo Njau. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
om
Toa Maoni Yako:
0 comments: