Mwezeshaji Chriss Mauki akishusha somo.
Wageni waliohudhuria semina hiyo.
Mkurugenzi wa mikono Media,Bw. Deogratius Kilawe aliyevaa tai nyekundu akiwa na mzunguzaji wa siku hiyo Bw. Chirss Mauki (Kushoto) Pembeni ni Mke wa Chriss Mauki, Kulia ni Chriss Mosyb.
Pauline Zongo na Deogratius Kilaw.
---
Love & Dine Valentine Dinner iliyoandaliwa na Mikono Media Tanzania Iliyofanyika JB BELMONT Hotel ya hapa Dar es Salaam ilifana, Bw. Chriss Mauki ndiyo alikuwa mzungumzaji wa siku hiyo na Mada Ilikuwa "Namna ya kutengeneza mahusiano yenye Nguvu na afya"

Mwezeshaji Bw. Chriss Mauki mwenye kipaji katika nyanja ya saikologia na mahusiano aliweza kuwapa kitu watu wakafurahi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mikono Media Bw. Deogratius Kilawe ametoa shukrani kwa watu wote waliohudhuria, na pia amesema kuwa motiovational Talks Tanzania ni sekta ambayo ndio inaanza kukua Tanzania hivyo anaomba watanzania waendelee kutoa ushirikiano wa dhati kwa kuwaunga mkono.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: