Mwanamama kazini.
Hii ni kwa mkutasari tu ,juu ya wanenguaji wa Kanga moja!!!
Samahani lakini... hii ndiyo hali halisi!!!
Mambo yanayo pelekea kundi hili la Kanga Moja Ndembendembe kujinyakulia umaarufu, hawana soo katika kujiachia!!!
Msanii wa Bongo movie Fadhia Chijumba maarufu kama NIKITA akitoa burudani kwa mashabiki ndani ya Club LINAS, Bukoba.
 Walper pia ameakikisha hayupo nyuma katika minenguo
 Kundi zima la Wananzengo wa Kanga Moja wakicheck vile wasanii wa nymbani wanavyo wajibika.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: