Maharusi wakiingia ukumbini kwa shangwe na vigeregere.
 Bw&Bi. Donald Byakwaga wakishangiliwa na wazazi pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hiyo.
Wazazi wa bwana Harusi Mzee Justine Byakwaga (kulia) kati ni mama yake pamoja na mama yake mkubwa wakiyarudi magoma ya kilugha.
 Wazazi wa bibi harusi nao hawakuwa nyuma kuyarudi magoma, ambayo yalisindikizwa na shangwe na vigeregere.
 Baba mkubwa wa bwana harusi, Luten Kanali mstaafu Kilucha akitoa neno.
 Bw&Bibi Donald Byakwaga wakiwa katika nyuso za furaha.
Mama mdogo wa bwana harusi, Bi. Cresencia akimpokea mtumishi wa Mungu Mchungaji Fenandes na Mkewe kuingia ukumbini. 
 Wazazi wa bwana harusi, Mzee Justine Byakwaga na mkewe wakimsalimia mtumishi wa Mungu Fenandes na mkewe.
 Mtumishi wa Mungu Fenandes akiongea machache katika harusi ya kijana wake Donald Byakwaga. Mtumishi Fenandes ndiye baba wa kiroho wa Bw. Donald.
 Maharusi watarajiwa Kenny ambaye ni mdogo wangu (mmiliki wa blog hii) na Siza nao walikuwepo kuangalia mipangilio inavyokwenda.
Happy ambaye ni dada wa Cathbert Angelo na Kenny akiwa na mawifi zake Ester Ulaya na Siza Mkoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: