Gari la zimamoto la Manispaa ya jiji la Dar es Salaam likiwa limepata ajali katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi.
 Hali ndivyo livyokuwa.
 Barabara ilikuwa imefungwa na kusababisha msongamano mkubwa.
 
 Magari yakiwa katika msongamano mara baada ya kutokea ajali na kusababisha kufungwa kwa barabara. 

Mtangazaji wa ITV, Bw. Sam Mahela akifanya mahijiano na Kaimu Kamishna wa Usalama wa Umma Bw. Fikiri  akielezea jinsi tukio lilivyotokea.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: