RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA (ICGLR)
ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH. MICHAEL CHILUFYA SATA (KUSHOTO) NA RAIS MWAI
KIBAKI WA KENYA KATIKATI WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA
MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA UNAOFANYIKA NCHINI
UGANDA
RAIS
KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA MKUTANO
WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
RAIS
MICHAEL SATA AKIMKABIDHI RAIS MUSEVENI UNENYEKITI WA ICGLR KATIKA
MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA
KIJINSIA
WAJUMBE MBALIMBALI WA MKUTANO HUO WAKIWA KATIKA UKUMBIWA MKUTANO.
RAIS JAKAYA kIKWETE AKISALIMIANA NA JOSEPH BUTIKU KURUGENZI WA TAASISI YA
MWALIMU NYERERE FOUNDATION WAKATI ALIPOWASILI NCHINI UGANDA LEO ASUBUHI
KATIKATI NI WAZIRI WA SOPHIA SIMBA WAZIRI WA JINSIA WANAWAKE NA WATOTO.
Toa Maoni Yako:
0 comments: