
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mh.
Samia Suluhu Hassan wakipitia taarifa hiyo ya pamoja.

Mkutano ambao leo umedumu kwa takriban masaa matano ukiendelea

Rais Kikwete akijadiliana na Profesa Mwesiga Baregu (kulia), Freeman Mbowe na Mh Bernard Membe wakati wa mapumziko mafupi

Wajumbe upande wa Serikali

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe (kati) akiwa na maafisa wa serikali wakipitia taarifa hiyo

Ujumbe
wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa makini taarifa ya pamoja kati ya
serikali na chama hicho kabla ya kukisambaza kwenye vyombo vya habari
ikiwa ni hitimisho la mkutano wao baada ya mazungumzo ya siku mbili
Ikulu jijini Dar es salaam.

Viongozi wa CHADEMA wakiwasili Ikulu

Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na lingine lililobeba
wajumbe wa uongozi wa CHADEMA yakiondoka IKULU baada ya mkutano na Rais
Jakaya Kikwete leo. Picha Zote na IKULU
---



Toa Maoni Yako:
0 comments: