Baadhi ya wafanyakazi wa  kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel  wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.
 Mmoja ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel Omari Salumu akizungumza katika kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.

Mwenyekiti wa wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel. Bw. Raina Mwanyamba akizungumza wakati wa mkutano wao wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: