Leo ni siku ya kumbukumbu kwenye familia ya Mzee Kubanda na familia ya wana Mwanza-Mwanza hali kadhalika familia ya wapenda Hip hop wanaharakati nchini kote hata nje ya mipaka pia, kwaaaanii... Fid Q a.k.a 'Ngosha' siku ya leo asherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hapa alikuwa akifanya mahojiano na Dj Fetty ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha cha bongo flava ambapo alielezea amengi ikiwemo ujio wake mpya wa Kitaolojia. 

Mwanadada Dj Fetty akiwa ndani ya studio za Clouds Fm ndani ya kipindi chake bongoflava ambacho huruka kila Jumamosi.

Fid Q a.k.a 'Ngosha' akitabasamu katika kamera yetu. Blog ya Kajunason inakutakia maisha marefu na yenye baraka tele.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: