Kushoto ni msanii wa kike anayekuja juu Mwanaisha Nyange 'Dayna' alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hizi Khadija Kalili mara tu aliposhuka jukwaani la Serengeti Fiesta 2011 pande za Iringa, Dayna anasema kwakuwa bado ni mchanga katika fani ya muziki yuko tayari kujifunza kutoka kwa wenzake pia anamalengo ya kuja kuwa mwanamuziki nyota katika ukanda wa Afrika Mashariki huku akitumaini kamba akiweza kupenya katika ukanda huo moja kwa moja ataweza kufahamika nje ya mipaka. Pia amewaomba radhi mashabiki wake kwa kupata ujumbe wenye maneno mazito na makali kwa kupitia mtandao wa Facebook ambapo kuna mtu ameiba neno lale la siri PASSWORD halafu akawa anaandika maneno yenye kuchefua ambapo katika hali ya kawauida mtu hawezi kumwambia mpenzi wake.
"Dada kuna mtu kaiba neno langu la siri la kuingia katika Acccount yangu ya FB kisha akawa anatuma meseji chafu za mapenzi huku akijifanya kuwa ni mimi, nimesikitika sana na nawaomba radhi wote kwa usumbufu walioupata hivi sasa nimebadilisha hivyo hawezi tena kuingia, yaani maneno aliyokuwa nayaandika huwezi amini ameandika hivi......., (Akaninong'oneza mitusi yote na mimi siwezi kuyaandika ni mazito Looh), "Katika hali ya kawaida hata kama mpenzi wako mmezoeana kiasi gani huwezi kumwambia hivyo anamalizia Dayna.
UJUMBE WETU: JAMANI HEBU TUBADILIKE JAPO KIDOGO MBONA TUNAPENDA KUCHAFUANA? HUYU DAYNA BADO NI BINTI MDOGO ANAYEANZA KUTAFUTA MAISHA YAKE WATU TUNAANZA MATIMBWILI BINAFSI NAWACHUKIA WATU AMBAO WANAPENDA KUWAKWAZA WENZAO NA HAO WAMEFILISIKA KIFIKRA KATIKA MAISHA YAO HIVI KUMTUSI MTU AU KUMCHAFULIA MTU KWWA WATU WAKE INAWASAIDIA NINI ACHENI HIZOOO WABONGO SISI NDIYO WACHAWI WA MAISHA YETU KWANINI HAMPENDI KUONA MWENZENU ANASEMA NA NJAA ZAKE MNATAKA AJE AWAOMBE NYIE WAKATI NJAA ZENU MASHINDWA KUSEMA NAZO. DAYNA AMENIONYESHA MESEJI NI CHAFU KULIKO NA HUYU MTU ATAKUWA ANAMJUA KWA SABABU ANAYEKUTUKANA AU KUKUFANYIA UBAYA SIKU ZOTE NI MTU UNAYEFAHAMIANA NAYE ANAWEZA KUWA SHOGA YAKO, NDUGUYAKO, NA WENGINE NI WALE WENYE VISOKOROKWINYO VINAVYOWASUMBUA TU MIOYONI MWAO MWACHENI MTOTO WA WATU ATAFUTE ANDAZI, MUHOGO, KIAZI AU KITUMBUA CHAKE CHA KILA SIKU AU HAMPENDI KUMWONA ANANG'ARA TUNAJUA UREMBO WAKE NDIYO UNAOWAKWAZA WENGINE KUMBUKENI KILA MTU NA MAISHA YAKE NA JINSI ANAVYOJIWEKA KAMA ANAJISHAUA NA WEWE SI UTAFUTE UWANJA WAKO UKAJISHAUE KIVYAKO MATUSI NA KEJELI YA NINI. NIMEGUSWA NA HILI LILILOMKUTA DAYNA HAIPENDEZI.

Toa Maoni Yako:
0 comments: