Wapenzi wa Machozi Bendi wakiserebuka na kujiachia.


Mwanadada Lady Jaydee akijiandaa kukata keki ya maadhimisho ya miaka sita ya bendi ya Machozi.

Muimbaji Bora Joniko Flawa.Machozi Bendi wakiburudisha.Mwanamuziki mwenye nidhamu.Mwanamuziki mwenye Talent zaidi Elisha ambaye ni mpiga keyboad.

 Keki yenyewe ilikuwa hivi mfano wa Mixer.
  Mwanadada Lady Jaydee akiweka mambo sawa. 
 Mc wa shughuli hiyo Gadner Habash ambaye pia ni mmoja ya wamiliki wa bendi hiyo.
  Mwanadada Lady Jaydee akikata keki huku akisindikizwa na Shamim. 
 Wapenzi wa Machozi Bendi wakinyanyua glass juu kuonyesha upendo na furaha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: