Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Jimbo la Kitope, palipofanyika Mkutano wa Viongozi wa ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi, akiendeleana ziara zake za kuimarisha Chama. Makamo wa Pili wa Rais, pia mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi, akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCm Taifa, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa ngazi mbali mbali wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja, aakiwa katika ziara za kuimarisha CCM katika Mikoa mitano ya Zanzibar.Makamo wa Pili wa Rais, pia mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi, akipokea mipira iliyotolewa na Mwanachama wa CCM na Mfanya biashara Mohamed Raza,wakati wa Mkutano wa Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Kaskazini B,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Jimbo la Kitope jana,chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk Ali Mohamed Shein. Viongozi wa CCM wa Ngazi mbali mbali, wa Wilaya ya kaskazini B Unguja wakimsikiliza kwa makini Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao katika kukiimarisha Chama na kuwataka kuwa makini katika utendaji wao kwa wananchi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akifungua pazi kama ishara ya kulifungua jengo la Afisi ya CCM Jimbo la Kitope, akiwa katika mfululizo wa Ziara zake za Kuimarisha Chama cha CCM, wakati alipokutana na viongozi wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana, baada ya kuufungua ukumbi wa mikutano wa Jimbo la Kitope.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akikata utepe kama ishara ya kulifungua jengo la Afisi ya CCM Jimbo la Kitope, akiwa katika mfululizo wa Ziara zake za Kuimarisha Chama cha CCM, wakati alipokutana na viongozi wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana, baada ya kuufungua ukumbi wa mikutano wa Jimbo la Kitope (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akisalimiana na wazee wakata utepe kama ishara ya kulifungua jengo la Afisi ya CCM Jimbo la Kitope,akiwa katika mfululizo wa Ziara zake za Kuimarisha Chama cha CCM,wakati alipokutana na viongozi wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana, baada ya kuufungua ukumbi wa mikutano wa Jimbo la Kitope (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B Unguja jana wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Jimbo la Kitope, palipofanyika Mkutano wa Viongozi wa ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi, akiendeleana ziara zake za kuimarisha Chama.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments: