Princess Agness Foundation itaendesha semina ya ujasiriamali kwa watu wote siku ya jumamosi tarehe 25/6/2010 kuanzia saa 5.00 hadi alasiri hadi saa 9.00 jioni bila malipo yoyote.
Semina hiyo itaendeshwa katika Hoteli ya Rombo ukumbi wa Tarakea eneo la Shekilango. Mwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara. Kwa wale ambao watapenda kuhudhuria tuwasiliane kwa kunitumia ujumbe au piga simu namba 0755394701
CHARLES NAZI
Mwezeshaji.
CHARLES NAZI
Mwezeshaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments: