Muigizaji wa filamu Jacob Steven a.k.a JB akipokea tuzo yake ya Muigizaji Bora wa Mwaka kutoka kwa Profesa Martin Mhando, CEO wa tamasha la kimataifa la filamu (ZIFF), Tuzo ambayo alijinyakuliwa tuzo ya dhahabu kupitia filamu yake ya Senior Bachelor, ambapo Filamu Bora ya Mwaka ilikuwa ni Ray of Hope iliyotengenezwa na Pilipili Entertainment chini ya mwandaaji Sajni Srivastava zilitolewa katika kilele cha hilo la ZIFF lililokuwa liifanyika Ngome Kongwe mjini Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: