Hivi huu mchezo wa kuwa mmawapa viongozi check ambazo zimeandikwa vibaya huwa unatoka wapi???? Inamaana wahusika huwa hawakagui kabla hawajaiweka mbele ya hadhara??? Angalia kwa makini hiyo check imeandikwa Shilingi milioni tatu na laki nane ila kwenye tarakimu imeandikwa 3,800,00/=.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: