Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kulia)pia akiwa mwenyekiti wa semina ya kuimrisha uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,iliyomalizika jana katika ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif sharif Hamadi,(kushoto) na Katibu Mkuu Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Abdulhamid Yahaya Mzee.Wakuu wa Mikoa mitano ya Zanzibar, wakisikiliza kwa makini mada na Michango mbali mbali iliyotolewa katika semina ya kuimarisha uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliyomalizika jana katika ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort.Maafisa Tawala wa Mikoa mitano ya Zanzibar, wakisikiliza kwa makini mada na Michango mbali mbali iliyotolewa katika semina ya kuimarisha uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliyomalizika jana katika ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort.Baadhi ya Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi, wakiwa katika semina ya kuimarisha uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliyomalizika jana katika ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort.
Picha na Ramadhan Othman, IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments: