Wikeend iliyopita niliweza kutembea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kujifunza na kujionea mambo mbali mbali ambapo ilikuwa ya mafanikio sana na nilitembelea eneo lote la chuo. UDOM inatakiribani wanafunzi 21,000 kutoka vitivyo vyote na ambapo ni chuo cha tatu kwa ukubwa barani Afrika, kinachoongoza ni Chuo Kikuu cha Afrika Kusini kilichopo Afrika Kusini, Chuo Kikuu Cha Nigeria, kilichipo Nigeria pamoja na kufuatiwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hakika chuo cha UDOM ni kivutio tosha.
Home
Unlabelled
MADHARI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: