Bw.Ruge Mtahaba akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa Prime Time Promotions na Clouds Entertainment Ltd kuhusu jengo lao jipya wanalotarajia kuhamia hivikatibuni.
Huku... watakuwa Prime Time Promotions ndiyo alivyokuwa akitoa maelekezo Bw.Ruge Mtahaba.
Wafanyaki wa Prime Time Promotions na Clouds Entertainment Ltd, kutoka kulia ni Jackline Kombe, PJ, Dj Dulla, Suzi pamoja na mdau wa blog hii Cathbert.
Wafanyakazi wakipata chakula cha mchana baada ya kumaliza kukagua jengo lao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: