Pamoja na serikali kuwafukuza wamachinga kule mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa sasa amerudi kwa kasi kama unavyowaona pichani. Sasa hapa tunajiuliza serikali imewaona na kuamua kuwanyamazia au niuzembe katika ufuatiliaji?
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: