Leo wakati napita katika nje ya eneo la Wizara ya Habari, Utamadini na Michezo jijini Dar es Salaam nilikuta kibao na wakati huo huo magari yamepaki. Sasa wadau wa web hii nisaidie hivi kibao hichi kina maana gani?
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: